Currently the country is experiencing a lot of jams in various and different roads which has been contributed by many factors.
Kenyans have reacted to a heavy jam on the road after a netizen shared a picture of how vehicles were stuck on the road due to the heavy jam.
Below are reactions of the netizens :
Dickson Charmmer MageroH
Yani hadi dere emeshuka🤣🤣🤣. Hio haifunguki leo
Abu ke
Dickson Charmmer MageroH hii imeua morale kabisa😆😆
Dickson Charmmer MageroH
Abu Ke guess mko around Salgaa, kuna Climax imecrash na trailer around there. Ndio inaeza kuwa sababu ya hio jam
Abu ke
Dickson Charmmer MageroH yeah tuko salgaa
Dickson Charmmer MageroH
Abu Ke haha.. Manze pole bro. Mi yangu huwa lazima gari izae. Kuna ata watu washanijua hapa, nikitravel naambiwa niseme tumezalia wapi😂😂
Abu ke
Dickson Charmmer MageroH 😂😂😂but p250 issa no,inastruggle kupanda zile Milima za londiani
Jaka Vabis
Abu Ke ni dere tu anabembeleza iyo gari na MB1730 hakuna tofauti kubwa
Dickson Charmmer MageroH
Abu Ke haha.. Mimi last nilitumia P250 to Busia, i was actually impressed. ENA na P410 ya Siaya tulizilisha mkeka hapo Salgaa kwa mpigo. Ni dereva tu hana mood. Kuna pia ile F360 ya Cool Ltd huwa inapelekwa kama Volkbus. Ata trucks Clinker hung'ara nayo sana.
Njeri John Ndungu
Metro trans ina do nn
Content created and supplied by: CREDITABLENEWS (via Opera News )
COMMENTS