Opera News

Opera News App

Zora Citizen : Actors, Actresses and their Cool photos with a bonus summary of the upcoming episode

Alhan
By Alhan | self meida writer
Published 8 days ago - 1069 views

ZORA CITIZEN TV FRIDAY WRITTEN UPDATES SUMMARY. (02.04.2021)

Lila Na Fila wanataka kuona baba yao ila babu yao kwa jina Oliver anawambia hayuko apo. Shosho yao anawadanganya hayuko pia na kuwaambia wacha ampigie simu.

Fella anamwendea Zora na kupiga teke jiko analowasha na kumwambia atanunua rangi apake hio ukuta anachafua na moshi. Simba anachungulia kwa umbali na badae anakuja kumsaidia mamake kuwasha jiko.

Baba ya Kwame anamshow makosa ya bibi yake. Kwame anamwambia yeye ndio alimuambia atafute bibi wa hizo sifa.

Mamake Kwame anamgombeza Alma mbona haleti mjukuu? Alma anamuuliza what if waende wapime wapate yeye ako sawa? Jibu linakosekana.

Madiba anatoka kwenye bafu. Lila na Fila wako na huzuni apo nje wanajiuliza baba yao ako wapi kupitia wimbo wa "Hello it's me again...." Madiba anawaona kwa dirisha na kuanza kujiuliza maswali. Oliver babake Madiba atakuja kwa mlango kuambia Madiba afungue.

Simba anapata Fela akichukua selfie na kumuuliza kama yeye ni babake? Badae ataondoka.

Oliver,babake Madiba, atafunguliwa mlango na Madiba kwa mara ya kwanza badae babake anamshow inafaa akue strong juu huwezi lia mwaka mzima.

Shosho yao Lila na Fila atawashukuru kwa kuskia wakiimba wimbo safi sana wakiwa pale nje wakijiuliza penye baba yao ako.

Neema wanaanza umbea na Hamida. Neema anadai Hamida amsaidie simu kwa sababu tangu aibiwe simu boyfriend wake hujui kama ako hai ama aliaga. Hamida anamnyima simu badae anauliza Hamida mbona hana mpenzi? Hamida anakua mkali kwake

Fella itamtuma kwa mamake na kupea warning asijaribu kuingililia maisha ya ndoa yake. Makeba atabaki kwa butwaa....


Zora Citizen TV : Actors, Actresses and their Cool photos


Zora Citizen tv: Actors, actresses and their cool photos


1.Zora - Sarah Hassan

2.Madiba - Blessing Lung'aho

3.Simba - Ryan Mwenda

4.Neema - Neema Sulubu

5.Shanice - Angela Mukami

6.Makeba - Mary Gacheri

7.Lila - Nyambiya Syekei

8.Yola - Bridget Shighadi

9.Hamida - Eunice David

10.Nana - Jackie Matubia

11.Fella - Agego Robert

12.Kwame - Quincy Rapando

13.Oscar - Patrick Gatimu

14.Loreta - Damaris Ketrai

15.Mzee Chibale - Joseph Gachanja

16.Madiba’s Wife - Melissa Kapune

17.Alma - Brenda Michelle

18.Oliver - Peter Ngugi


19.Zalena - Alice Mbeyu


20.Fila - Angel Achieng

21.Ogola - Alvince Kasuku


Follow me For more updates

Content created and supplied by: Alhan (via Opera News )

Opera News is a free to use platform and the views and opinions expressed herein are solely those of the author and do not represent, reflect or express the views of Opera News. Any/all written content and images displayed are provided by the blogger/author, appear herein as submitted by the blogger/author and are unedited by Opera News. Opera News does not consent to nor does it condone the posting of any content that violates the rights (including the copyrights) of any third party, nor content that may malign, inter alia, any religion, ethnic group, organization, gender, company, or individual. Opera News furthermore does not condone the use of our platform for the purposes encouraging/endorsing hate speech, violation of human rights and/or utterances of a defamatory nature. If the content contained herein violates any of your rights, including those of copyright, and/or violates any the above mentioned factors, you are requested to immediately notify us using via the following email address operanews-external(at)opera.com and/or report the article using the available reporting functionality built into our Platform

YOU MAY LIKE

Maina Kamanda Finally Reveals The Difficulties He Has Been Going Through

7 minutes ago

6 🔥

Maina Kamanda Finally Reveals The Difficulties He Has Been Going Through

Raila Odinga's Likely 2022 Line Up Released By His Close Ally

15 minutes ago

146 🔥

Raila Odinga's Likely 2022 Line Up Released By His Close Ally

Two Suspects Arraigned In Court For Burning A Mentally Unstable Woman Accused Of Witchcraft To Death

16 minutes ago

7 🔥

Two Suspects Arraigned In Court For Burning A Mentally Unstable Woman Accused Of Witchcraft To Death

The Only Person Who Was Allowed to Call Queen Elizabeth By Her Name is African, Here's Who and Why

1 hours ago

79 🔥

The Only Person Who Was Allowed to Call Queen Elizabeth By Her Name is African, Here's Who and Why

"Raila is an Institution," Mp Peter Masara Says

1 hours ago

56 🔥

A Heated Debate As Itumbi Trolls Mutahi Ngunyi After He Questioned His Intelligence Quotient

1 hours ago

70 🔥

A Heated Debate As Itumbi Trolls Mutahi Ngunyi After He Questioned His Intelligence Quotient

Senator Millicent Omanga's View on Speculations About Dp Ruto and Raila's Coalition

1 hours ago

37 🔥

Senator Millicent Omanga's View on Speculations About Dp Ruto and Raila's Coalition

DP Ruto's Close Ally Breaks Silence On Rail- Ruto Alliance

1 hours ago

56 🔥

DP Ruto's Close Ally Breaks Silence On Rail- Ruto Alliance

Jubilee Secretary General Raphael Tuju Clears the Air on Alleged Fallout With DP Ruto

1 hours ago

82 🔥

Jubilee Secretary General Raphael Tuju Clears the Air on Alleged Fallout With DP Ruto

Reactions As 2 Nairobi Leaders Decamp ODM To ANC Party

1 hours ago

35 🔥

Reactions As 2 Nairobi Leaders Decamp ODM To ANC Party

COMMENTS