"Wacha Siasa za Kijinga! Angry Hassan Omar Sarai Lectures Governor Ali Hassan Joho | All Comments
2021-02-05 13:49:43
Former Mombasa County Senator, Hassan Omar Sarai hosted DP William Samoei in Kisauni Constituency, Mombasa County for aPolitical Rally.Now, during his speech Sarai took his Opportunity to lecture Mombasa County boss, Ali Hassan Joho concerning his Politics ...
COMMENTS
JohnKagia
02-05 17:25:52respect ur governor 0mar
+254-71453****
02-05 15:58:11joho Kama anataka president lazima akue machua aonge vitu Kama uchumi yakenya sio kufuata Rao kilasiku
GUEST_V1yXk7jEx
02-05 18:26:39Hassan Omar fundisha Joho amelala flats makelele zake tuuuu
GUEST_01x6xzKbd
02-05 17:32:11Hajaiva huyu,bado mwalimu wake kisiasa yuko chini ndo manake
GUEST_jqrZEnkvr
02-05 17:09:18Lete sera bw Sarai,mambo na ndevu na kuvaa sio muhimu kwetu,hata wewe ukavaa kikoi na sera nzuri tutakupa kura.
Wesamba
02-05 16:13:44haka nako kanaumbeya kaa wanawke, no wonder wanasema ni kashoga😂😂😂
GUEST_ewe69Gqnj
02-05 15:47:10Mr Sarai, please tell us ur manifesto, matusi haitakusaidia
JustinMtucks_01
02-05 15:39:16You've talked completely none sense, expressing character of another leader instead of bringing ideas of how to lift people's lives
GUEST_2r6kgJwx5
02-05 15:24:34this is Ruto group
KiioMichael
02-05 15:08:29Sarai might never make it.
Ngaira
02-06 14:27:22Now Sarai Omar has got voice even guts,after being held buy Ruto, without him he was very voiceless.
AlphonceKatana
02-06 04:55:04joho is nothing
WaruthaniNdegwa
02-05 15:34:07Yaani manifesto yao ni matusi
GUEST_mlpoJxqQq
02-05 18:09:13hapo, Omar diye mjinga zaidi!!!
+254-72072****
02-05 17:34:05mwanaume mwenye mayako makubwa huwa mjeuri
GUEST_YPLDDl2Y6
02-07 09:28:45ninyi ndio mtaacha ujinga wenu kila kitu kuita jina Rao hata penye hahusiki na hata kama ni D amekukosea nini
JuliusWarera_01
02-07 07:57:54Sarai pia umeanza siasa za matusi?Achia wenyewe hatuzitaki pwani.
GUEST_ZGnnelOkM
02-06 15:19:16Failure.....kula pesa ya ruto na ww ,but u governor hatukupi watu wa msa
Papawemba
02-05 17:59:35Hajawahi Sema la maana huyu......
Mrsluggard
02-05 15:49:15stop!!! kacheze mbali mwanangu na katafute league yako sultan ako division 3 wa wewe ndio unaanza
GUEST_oyL7PmXGM
02-05 15:17:00Watoto maneno on the sultan!! incitement by one 😌 Ruto 🕺🤺!!
+254-72540****
02-05 20:42:40I don't think sarai will win governorships without Raila blessings
AliMangalaMangala
02-05 16:13:36DONT FORGET SARAI IF UA LINENAGE IS THE SAME WITH OUR JOHO FOGET COMPTETING HIM IN PWANI GUESS WHY??
JuliusNyambu
02-05 20:30:06Omari wewe ndiyo mjinga juu uliwacha Usenator ukashindana na ndovu kunya ukapasuka msamba
AggreyNehondo
02-05 16:36:14kwani Kuna kuvaa kwa kisiasa,. kunyoa ndevu kisiasa Sarai hakuwa na la kuambia watu